Huduma za Usajili wa Laini za Uwakala
Tunasaidia wajasiriamali na wafanyabiashara kupata laini rasmi za uwakala wa fedha za mikononi. Tunakusajilia na kukukabidhi laini tayari kwa matumizi bila urasimu au kuchelewa.
Mitandao Tunayohudumia:
- M-Pesa (Vodacom): Laini za miamala ya fedha na mauzo ya muda wa maongezi.
- Mixx by Yas (Tigo): Usajili wa laini za uwakala kwa miamala ya haraka.
- Airtel Money & HaloPesa: Usajili wa laini za kibenki na miamala ya mtandao.
Mahitaji na Vigezo vya Usajili:
- Kitambulisho Cha NIDA au Kadi ya Mpiga Kura.
- TIN Certificate
- Namba ya Simu iliyosajiliwa kwa jina la mwombaji.
Je, unahitaji Laini ya Uwakala Leo?
Tuma maombi yako sasa ili tukusajilie kwa haraka.
Omba Laini Sasa