Tazama huduma zote tunazotoa na ubonyeze kupata taarifa za kina.
Mfumo wa kuuza WiFi kwa vocha au malipo ya namba kwa ajili ya biashara yako.
Soma Zaidi
Usajili wa Laini za Kawaida, Laini za Uwakala, na Lipa Namba (mitandao yote).
Soma Zaidi
Tunauza Router za mitandao yote, Outdoor Access Points na vifaa vyote vya mtandao.
Soma Zaidi
Huduma za bando za bei nafuu: YAS Kinara, Voda SME, Airtel SME na Bando za Halotel.
Soma Zaidi
Msaada wa usajili na upatikanaji wa Leseni rasmi za biashara pamoja na Cheti cha TIN (TRA).
Soma Zaidi