Uuzaji Pamoja na Mipangilio ya Router
Tunauza router za kisasa za 4G na 5G, pamoja na vifaa mbalimbali vya mtandao vinavyosaidia kuongeza spidi na uwezo wa mtandao wako wa WiFi au Waya.
Vifaa Vinavyopatikana:
- Universal Routers (4G/5G): Router zinazokubali laini za mitandao yote nchini.
- Outdoor & Indoor Access Points: Vifaa vya kusambaza WiFi umbali mrefu.
Mfano wa Router Zetu
Yas Router
Halotel Router
WavLink Router
Unahitaji Kifaa cha Mtandao?
Wasiliana nasi kupata ushauri wa kifaa kinachofaa eneo lako.
Agiza Kifaa Sasa